GET /api/v0.1/hansard/entries/1033770/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033770,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033770/?format=api",
    "text_counter": 387,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Zani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13119,
        "legal_name": "Agnes Zani",
        "slug": "agnes-zani"
    },
    "content": "Bi Spika wa Muda, je ni sawa kwa Sen. Faki kunimulikia tochi na anajua kazi ambayo nimefanya katika hii Bunge haswa nikiendeleza mambo ya Kiswahili? Hao wenyewe walianza tashwishi ya maneno muhimu ya Kiswahili. Wanataka niende upande gani? Kama wanataka kufundishwa, waseme. Kama hawataki, waendelee hivyo hivyo. Asante."
}