GET /api/v0.1/hansard/entries/1034227/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1034227,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034227/?format=api",
"text_counter": 12,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mbeere North, JP",
"speaker_title": "Hon. Charles Njagagua",
"speaker": {
"id": 2336,
"legal_name": "Charles Muriuki Njagagua",
"slug": "charles-muriuki-njagagua"
},
"content": " Bwana Naibu Spika wa Muda, naomba kujua jambo: Je, tulikubaliana kuwa siku ya Alhamisi tuwe tukiongea Kiswahili? Wengine wanaendelea kuongea kizungu. Hoja yangu ya nidhamu ni kusisitiza kuwa Kiswahili ndiyo lugha sanifu ya kutumika leo. Je, tutaongea kwa Kiswahili ama kizungu?"
}