GET /api/v0.1/hansard/entries/1034234/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1034234,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034234/?format=api",
    "text_counter": 19,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ganze, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Teddy Mwambire",
    "speaker": {
        "id": 13334,
        "legal_name": "Teddy Ngumbao Mwambire",
        "slug": "teddy-ngumbao-mwambire-2"
    },
    "content": " Bwana Naibu wa Spika, ndani ya Bunge kuna viti vya kutosha lakini nimemwona mmoja wetu ameketi kwenye sakafu. Je, ni sawa hivyo kwamba Mheshimiwa aje Bungeni kisha akae sakafuni badala ya kitini?"
}