GET /api/v0.1/hansard/entries/1034236/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1034236,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034236/?format=api",
    "text_counter": 21,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ganze, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Teddy Mwambire",
    "speaker": {
        "id": 13334,
        "legal_name": "Teddy Ngumbao Mwambire",
        "slug": "teddy-ngumbao-mwambire-2"
    },
    "content": " Bwana Naibu wa Spika, yule ambaye alikuwa ameketi kwenye sakafu sasa hivi ameketi kwenye kiti. Alikuwa ameketi sakafuni karibu na anapoketi Mhe. Mishra. Nahofia huenda uongozi wa kidhalimu umeanzishwa humu Bungeni kwamba wengine wapige magoti."
}