GET /api/v0.1/hansard/entries/1034508/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1034508,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034508/?format=api",
    "text_counter": 293,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nataka kuunga mkono marekebisho ambayo Mhe. (Dr.) Nyikal amependekeza kwa Hoja hii. Wakati mwingi tunatoa Hoja pasi na kuwa na mipangilio, Sisi kama Bunge la Taifa, huwa hatuzungumzi tu na jambo libaki hapa katika Chamber ya Bunge la Taifa. Tunataka tuweke mikakati ili kwamba mapendekezo tunayotoa yanatekelezwa kwa njia mwafaka. Daktari Nyikal amezungumzia njia mahususi zitakazotumika kuhakikisha Hoja hii imetekelezwa na vitengo husika vya Serikali."
}