GET /api/v0.1/hansard/entries/1034511/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1034511,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034511/?format=api",
"text_counter": 296,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda, kama nilivyosema, naunga mkono marekebisho machache ambayo Daktari Nyikal amependekeza kwa Hoja hii. Ni muhimu tuweke mikakati ambayo itawezesha mapendekezo tunayowasilisha kutekelezwa. Hivyo basi, lazima tuonyeshe njia ya mikakati ambayo itawekwa ili mapendekezo yetu yachukuliwe kwa umuhimu sana na kuweka programmes mahususi za kuhakikisha mapendekezo yamefanyika. Naunga mkono."
}