GET /api/v0.1/hansard/entries/1034517/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1034517,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034517/?format=api",
"text_counter": 302,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": " Bi Naibu Spika wa Muda, ninamalizia. Ninaunga mkono iwapo Hoja hii itakuwa na marekebisho yaliyopendekezwa na Daktari Mhe. Nyikal. Itakuwa Hoja itakayotimiza malengo yetu. Tunapozungumzia hii Hoja, lazima tujue tutatumia lugha aina gani itakayotuwezesha kutekeleza mapendekezo ambayo tumeyazungumzia. Ninaunga Mkono."
}