GET /api/v0.1/hansard/entries/1034633/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1034633,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034633/?format=api",
    "text_counter": 111,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Swali lako litajibiwa mbele ya Kamati ya Kiidara ya Uchukuzi, Ujenzi wa Miradi ya Umma na Makaazi. Swali ambalo Mhe. John Olago Aluoch ameuliza limeeleweka na litajibiwa mbele ya Kamati hiyo. Kiswahili chenye ametumia kinaeleweka."
}