GET /api/v0.1/hansard/entries/1034641/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1034641,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034641/?format=api",
"text_counter": 119,
"type": "speech",
"speaker_name": "Suba North, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Odhiambo-Mabona",
"speaker": {
"id": 376,
"legal_name": "Millie Grace Akoth Odhiambo Mabona",
"slug": "millie-odhiambo-mabona"
},
"content": "Bw. Spika, nimesikiza ndugu yangu, Mhe. Olago Aluoch kwa makini akiongea kwa Kiswahili na kusema neno 'sambamba' kwa mara ya kwanza. Nilikuwa nafikiri ni yule comedian ndiye anayejua neno 'sambamba' peke yake. Kwa kuwa najua anaongea kuhusu eneo bunge lake, je, ako na hakika wameelewa maneno ambayo amesema?"
}