GET /api/v0.1/hansard/entries/1034647/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1034647,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034647/?format=api",
    "text_counter": 125,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Garissa Township, JP",
    "speaker_title": "Hon. Aden Duale",
    "speaker": {
        "id": 15,
        "legal_name": "Aden Bare Duale",
        "slug": "aden-duale"
    },
    "content": " Mhe. Spika, nikimsikiza dada yangu kutoka huko Suba, Mhe. Millie Odhiambo, alikosea usanifu wa Kiswahili kwa sababu anasema kuwa lile neno Mhe. Olago amelitamka ni neno ambalo linatamkwa na comedian . Nafikiri ingekuwa hoja ukubalie Mhe. Millie Odhiambo alitoe kutoka kwa orodha ya kitabu sahihi cha historia ya Bunge ili miaka ijayo, kumbukumbu ya Bunge hili ikisomwa, isimnukuu vibaya. Ahsante, Bw. Spika."
}