GET /api/v0.1/hansard/entries/1034663/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1034663,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034663/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Garissa Township, JP",
    "speaker_title": "Hon. Aden Duale",
    "speaker": {
        "id": 15,
        "legal_name": "Aden Bare Duale",
        "slug": "aden-duale"
    },
    "content": "Nilipoingia Bungeni alasiri ya leo, nilimpata Mhe. Mjumbe wa Kaunti ya Murang’a akiwa ameketi katika kile kiti changu rasmi. Kwa kuwa ninaheshimu sana viongozi wa kike, ndiposa nikaamua nikae kwenye kiti kilicho karibu. Nataka nikujulishe kuwa nimepata chombo ambacho sielewi katika hiki kiti na hakiko katika viti vingine."
}