GET /api/v0.1/hansard/entries/1034667/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1034667,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034667/?format=api",
"text_counter": 145,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garissa Township, JP",
"speaker_title": "Hon. Aden Duale",
"speaker": {
"id": 15,
"legal_name": "Aden Bare Duale",
"slug": "aden-duale"
},
"content": " Mhe. Spika, sijaiona chombo hiki katika Bunge hili. Nimechungulia viti vya viongozi ambao wako karibu nami na nikapata havina chombo hiki. Kwa hivyo, ningeomba uamuru Karani wa Bunge la Kitaifa achunguze kwa haraka kwa nini kiti hiki kina chombo tofauti na vile viti vingine. Pia naomba utoe amri kuwa Mhe. Sabina Chege aondoke kutoka kwenye kiti changu kwa haraka ili nirudi huko kwa usalama wangu binafsi."
}