GET /api/v0.1/hansard/entries/1034676/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1034676,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034676/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Muhoroni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Onyango Oyoo",
"speaker": {
"id": 2408,
"legal_name": "James Onyango Oyoo",
"slug": "james-onyango-oyoo"
},
"content": " Ahsante sana Mhe. Spika. Nimemsikia mwenzangu, Mhe. Olago Aluoch, akitaja barabara ya C35 katika Swali lake. Kwa kufahamu kwangu, barabara ya C35 inatokea Kipkelion na kuisha mbele ya mashine ya sukari ya Muhoroni. Sasa sijui kama aliibeba akaipeleka kwake au ilikuwaje. Ningependa ufafanuzi."
}