GET /api/v0.1/hansard/entries/1036737/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1036737,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1036737/?format=api",
    "text_counter": 105,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwanza ningependa kupongeza Kamati ya Ardhi, Mazingira na Maliasili kwa kushughulikia Ombi la watu wa Ganjoni kuhusiana na upakiaji wa iron ore katika maeneo yao. Ningependa kuthibitisha kwamba Kamati husika wakati walipokuja Mombasa kujadili swala hili. Ninawashukuru kwa kuwasikiza watu wetu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}