GET /api/v0.1/hansard/entries/1036738/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1036738,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1036738/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Jambo la pili ni kwamba Ripoti ya Kamati iko sawa, lakini inatilia shaka utendakazi wa taasisi kadhaa za Serikali. Kwa mfano, ofisi ya National Environmental Management Authority (NEMA) iliruhusu vipi jambo kama hili kutendeka wakati eneo ambayo ilikua inafanyika ni eneo la makaazi? Wananchi wanatakikana kupumzika usiku, lakini usiku mzima ni kelele za upakiaji wa iron ore. Bw. Spika, mambo mengi ambayo sisi tunafanya yangepaswa kufanywa na taasisi huru za Serikali. Lakini kwa sababu ya utepetevu na uzembe wao, wamewacha haki nyingi za Wakenya kuendelea kudhulumiwa. Kwa hivyo, ninapendekeza kwamba Kamati ya Utekelezaji, yaani Implementation"
}