GET /api/v0.1/hansard/entries/1036944/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1036944,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1036944/?format=api",
"text_counter": 312,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bi. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa iliyoletwa na Sen. Iman. Ni jambo la kusikitisha kwamba kwa sasa wakati tuna vifaa vyote vya kutambua uhai na kifo, mhusika alipelekwa kwa chumba cha kuhifadhia maiti kabla ya siku zake kufika. Tangu janga la COVID-19 kuanza, kuna wengi ambao wamepata visa kama hivi. Hii imesababishwa na ugonjwa wa COVID-19 ambao umeathiri hata madaktari. Madaktari wengi ambao wanatibu watu katika hospitali na zahanati ni vijana ambao The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}