GET /api/v0.1/hansard/entries/1036949/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1036949,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1036949/?format=api",
    "text_counter": 317,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ni jambo la kutafakari sana kuona kwamba madaktari wetu wasiende kwa mgomo na waweze kuitwa haraka kuanzia sasa, kabla ya hiyo siku ili waweze kuafikiana kuweza kuepusha vifo vya Wakenya wengi wakati huu wa janga la COVID-19. Nataka kujua Kamati ya Seneti ya Afya itachukua hatua gani kuona kwamba hao madaktari ambao walifanya hicho kitendo wameweza kuadhibiwa ya kutosha ili iwe mfano mzuri kwa hospitali zingine zisifanye kitendo kama hiki. Asante."
}