GET /api/v0.1/hansard/entries/1037031/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037031,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037031/?format=api",
"text_counter": 399,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Ningependa kuelekeza kwamba Makarani wetu watusaidie kufuatilia hizi Arifa na Kauli ndiposa zisiweze kutokomea, kwa sababu haziwezi kuwekwa rasmi katika Ripoti za Kamati. Sasa hivi nampa nafasi, Kiranja wa Walio Wengi wa Seneti."
}