GET /api/v0.1/hansard/entries/1037066/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037066,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037066/?format=api",
"text_counter": 434,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omogeni",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13219,
"legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
"slug": "erick-okongo-mogeni"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, nimejaribu kutembea katika Kaunti yangu ya Nyamira na nimeona kwamba kweli kuna shule nyingi sana katika Kaunti yangu ambazo bado hazijakuwa na nafasi ya kupewa madawati. Kwa hivyo, naomba wale ambao wanasimamia Wizara ya Elimu wafanye jitihada kuhakikisha kwamba madawati haya yapelekwe kwatika kaunti zote 47 zenye ziko katika nchi ya Kenya. Hatutaki kusikia kwamba madawati haya yamegawa katika kaunti fulani na kwamba kuna kaunti zingine ambazo hazijakuwa na nafasi ya kupata madawati haya."
}