GET /api/v0.1/hansard/entries/1037070/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037070,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037070/?format=api",
    "text_counter": 438,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Pareno",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13180,
        "legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
        "slug": "judith-ramaita-pareno"
    },
    "content": "Katika lugha ya Kiswahili, sijawai kusikia kama kuna ngeli kama hiyo. Kwa hivyo, afadhali aitoe hiyo kutoka kwa taarifa ya Bunge, la sivyo itabidi aajibike kwa sababu ya masharti yaliyowekwa katika Bunge."
}