GET /api/v0.1/hansard/entries/1037071/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037071,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037071/?format=api",
    "text_counter": 439,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Sen. Pareno. Wewe tayari ulikuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki. Kwa hivyo, nafikiria umebobea katika lugha. Lakini ningependa kuwaruhusu Maseneta wenzangu kwamba tujaribu tu kuzungumza lugha. Hata kama kutakuwa na dosari, lakini kujaribu ndio kuweza. Endelea."
}