GET /api/v0.1/hansard/entries/1037079/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037079,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037079/?format=api",
"text_counter": 447,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sakaja",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13131,
"legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
"slug": "johnson-arthur-sakaja"
},
"content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Ningependa kumuarifu Seneta wa Kaunti ya Nyamira. Namshukuru kwa nafasi hii. Ni kusema kwamba ni Hoja ya arifa. Ni kweli kuwa pia vijana wa Nairobi mara nyingi wanasumbuliwa na kunyanyaswa na maafisa wa polisi, lakini wanajitafutia riziki. Hivi leo kuna vijana wangu wengi ambao wanafanya kazi ya boda boda na pia wale wa matatu. Ukiagalia upande wa Ruai, Njiru na Kayole kuna Forward Travellers Sacco wa matatu na wale wa Outer Ring na Eastern Bypass wameshikwa wengi. Wamewekwa kwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}