GET /api/v0.1/hansard/entries/1037080/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037080,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037080/?format=api",
"text_counter": 448,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sakaja",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13131,
"legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
"slug": "johnson-arthur-sakaja"
},
"content": "“mariamu” jinsi tunaita ile lori. Wamejazwa na kushikwa bila kuzingatia kanuni za kupigana na COVID-19. Pia Nairobi tuna shida kama hiyo. Nafikiria hiyo shida ya Nyamira iko zaidi. Nimefurahi kwamba mimi na wewe na Kamati yetu tutaenda Nyamira wiki ijayo kuangalia. Itabidi pia tuangalie mambo kama hayo. Wewe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Haki. Tuko tayari pamoja na Maseneta wenzangu, Sen. Olekina, Sen. Mutula Kilonzo Jnr. na wale ambao wako katika Kamati hiyo. Sen. Olekina atakuja kama jirani wa Nyamira. Tutakuja kuzungumzia vijana na kuwapa moyo ya kwamba kupitia Building Bridges Initiative (BBI) kuna nafasi yao itapatikana hapo."
}