GET /api/v0.1/hansard/entries/1037083/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037083,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037083/?format=api",
"text_counter": 451,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana kwa kujieleza kwa ufasaha mwingi, umahiri na pia ulikuwa na ari nzuri wakati ulikuwa unajieleza. Jambo la kusikitiza ni kuwa viti ambavyo vinawakilisha watu wenye ulemavu katika Seneti vimeondolewa katika rasimu ya BBI kwa sababu lazima kuwe na usawa wa kaunti. Nafikiri kuwa hilo ni jambo ambalo linaweza kupigwa msasa. Nampa Sen. Kang’ata nafasi ajibu kwa sababu yeye ni mdhamini wa Hoja hii."
}