GET /api/v0.1/hansard/entries/1037133/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037133,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037133/?format=api",
    "text_counter": 501,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Sen. Sakaja sidhani Hoja hilo litatupiliwa mbali hata kama hatutalijadili leo. Nimesema kwamba nahairisha Hoja zote kwa sababu muda umeyoyoma. Nimearifiwa kwamba Hoja hilo laweza kuorodheshwa katika awamu ijao ya Bunge la Seneti. Kama hoja hilo laweza kuorodheshwa katika mwezi wa Februari tutakapo rudi, basi tutaliorodhesha wakati huo."
}