GET /api/v0.1/hansard/entries/1037134/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037134,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037134/?format=api",
    "text_counter": 502,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Bwana Spika wa Muda, kulingana na Kanuni zetu za Seneti, Hoja hilo litakuwa limepitwa na wakati tutakapo rejea Mwezi wa Februari. Kwa hivyo, haitaweza kuzungumziwa tena kwa muhula unaofuata katika Awamu ya kwanza ya 2021."
}