GET /api/v0.1/hansard/entries/1037135/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037135,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037135/?format=api",
"text_counter": 503,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sakaja",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13131,
"legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
"slug": "johnson-arthur-sakaja"
},
"content": "Itakuwa ni vyema hata kama kwa sababu ya wakati, Ripoti hii izunngumziwe kwa dakika mbili tu, lakini iwe katika kumbukumbu ya Seneti kuwa tulijadili na kutoa mawazo yetu na tukapitisha Ripoti hii. Tuko na idadi ya kuipitisha Ripoti hii ya kazi ambayo imefanywa na Maseneta."
}