GET /api/v0.1/hansard/entries/1037136/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037136,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037136/?format=api",
    "text_counter": 504,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Sen. Sakaja, nafikiri kwa sababu Mwenyekiti, Sen. Omogeni, aliwahi kuja hapa kuniuliza swala hilo, kwa sababu nilikuwa nimearifiwa kwamba tuahirishe Hoja zote kwa sababu ya muda. Nilimweleza kwamba hatutaweza kufanya suala hilo rasmi lakini ninakubaliana na wewe kuna uwezekano kwamba Ripoti hii haitaweza kuorodheshwa tena mwezi wa Februari kwa sababu tuna Hoja nyingi mbele yetu. Pengine nikupe nafasi ya dakika tatu ama nne uilete rasmi. Pengine Sen. Olekina ama mwingine –"
}