GET /api/v0.1/hansard/entries/1037153/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037153,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037153/?format=api",
    "text_counter": 521,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, Sen. Kang’ata ni wakili kama mimi. Mara nyingi wakati wakili senior wako anazungumza, wakili ambaye ni junior anafaa kuketi na kusikiza ili aweze kupata hekima ya mafunzo yanayotokana na wakili senior. Sitakuwa mrefu wa mazungumzo. Yangu ni kusema kwamba yale mapendekezo ambayo yalitolewa na Kamati ya Kudumu ya Haki, Mambo ya Kisheria na Haki za Binadamu ambayo yako katiki Ripoti hii yameangaziwa katika Mswada wa BBI ambao umechapishwa rasmi. Wananchi wanaweza kusoma Mswada wa BBI na kuweka sahihi ili kutimiza mapendekezo ya sheria kuhusiana na ruwaza hiyo. Hii itaenda kwenye kumbukumbu ya Seneti kuwa wakati tulipokuwa na fursa y kuboresha utendakazi wa Seneti katika Katiba yetu, sisi kama Maseneta wakati huo The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}