GET /api/v0.1/hansard/entries/1037165/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037165,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037165/?format=api",
"text_counter": 533,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Mapendekezo yote na mijadala ambayo imetolewa na Maseneta katika kujadili Ripoti hii yatazingatiwa na Kamati. Tutaweza kuboresha utendakazi wa Kamati hii wakati tutakaporudi mwakani. Kama alivyosema Sen. (Dr.) Ochillo-Ayacko, kuna sheria nyingi ambazo zinatarijwa kufanyiwa ukarabati wakati BBI itakapopitishwa. Kamati itakuwa macho wakati wote kuweza kutekeleza. Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda."
}