GET /api/v0.1/hansard/entries/1037188/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037188,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037188/?format=api",
    "text_counter": 556,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, kwa unyenyekevu, taadhima na imani kuu tulionayo juu yako, tunataka hii hoja ya nidhamu, kwa sababu tunaenda likizo, ndipo tukaongeza muda kidogo ili tueleze matumaini yetu katika Bunge letu la Seneti kama alivyosema Mratibu wa Walio Wengi Katika Seneti---"
}