GET /api/v0.1/hansard/entries/1037194/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037194,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037194/?format=api",
    "text_counter": 562,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherargei",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Sijafurahia mchakato wa Building Bridges Initiative (BBI). Ikifika wakati huo, nitapinga. Hii kwa sababu haijapata ile azima na dhamira ya Wakenya. Uchumi wa taifa letu la Kenya hauwezi kukidhi ama kubeba ule mzigo ambao Wakenya wataongozewa. Kwa mfano, tutakuwa na Bunge kubwa ambalo tutakuwa tunalipa Ksh20 bilioni. Uchumi wa Kenya umekuwa uchumi wa mtumba. Uchumi ambao hauwezi kupanua Serikali ya kitaifa, na Bunge la Kitaifa na Seneti."
}