GET /api/v0.1/hansard/entries/1037212/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037212,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037212/?format=api",
"text_counter": 580,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa kuchangia Hoja ya kuahirishwa kwa Seneti kwa sherehe za Krismasi na mwaka mpya. Kwanza, ninapongeza Seneti kwa kazi ambayo tumefanya. Kazi hii imeangaziwa na Mratibu wa Waliowengi. Kwa hivyo, sitaguzia kila kitu tumefanya. Vikao vya mwaka huu vimeshuhudia mabadiliko ya uongozi wa Seneti kwa upande wa Waliowengi. Tulipata kiongozi mpya wa Waliowengi pamoja na Wenyeviti wa karibu Kamati zote za Seneti. Pia mimi nilibahatika kuchaguliwa kama Mwenyekiti The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}