GET /api/v0.1/hansard/entries/1037213/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037213,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037213/?format=api",
"text_counter": 581,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "ywa Kamati ya Delegated Legislation, ambayo kwa hakika si jambo la kulichukulia mzaha. Ni jambo kubwa kwa sabau ninaweza kukaa katika Kamati ya Liaison na kutoa mchango wangu katika hili Bunge. Bw. Spika wa Muda, yale madabiliko ya uongozi yameleta sura mpya katika Bunge, kwa sababu Maseneta kutoka upande wa Waliowachache wamepata fursa kuwa viongozi wa Kamati tofauti tofauti. Ninazungumzia Kamati ya Justice, Legal Affairs andHuman Rights, Kamati ya Devolution and Intergovernmental Relations, Kamati ya"
}