GET /api/v0.1/hansard/entries/1037217/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037217,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037217/?format=api",
    "text_counter": 585,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kamati hizo zote zinaongozwa na viongozi shupavu kutoka upande wa upinzani wa Seneti. Hii imeongeza diversity katika Bunge hili kwa sababu viongozi ambao wamechaguliwa wote ni watendakazi, na itaboresha kazi ya Bunge hili zaidi. Ningependa pia kupongeza Bunge hili kwa kusimama kidete na kuenda mahakamani kutetea sheria zilizopotishwa bila mchango wa Seneti. Imethibitishwa na mahakama kuwa lazima sheria ifwatwe wakati Bunge la Kitaifa linapitisha sheria ambazo zitawaathiri Wakenya. Bw. Spika wa Muda, ninafurahi kwamba tulipitisha formula mpya ya third"
}