GET /api/v0.1/hansard/entries/1037223/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037223,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037223/?format=api",
"text_counter": 591,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Maafisa wanaohusika na kulinda usalama lazima pia wawe macho kuhakikisha kwamba wananchi wanafwata sheria na vile pia wale wanaeka vizuizi vya uongo ili kuwagandamiza wananchi katika sehemu mbali mabli kule mashambani wanapelekwa mahakamani ili kuona sheria inafwatwa."
}