GET /api/v0.1/hansard/entries/1037226/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037226,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037226/?format=api",
"text_counter": 594,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, nilifurahi sana wiki iliyokwisha kumuona kiongozi wangu wa waliowachache katika Seneti, Sen. Orengo, akizungumza kwa lugha ya Kiswahili. Sen. Orengo alizungumzia jambo muhimu ambalo tunafunzwa katika dini ya Kiislamu kwamba alama za mtu mnafik ni tatu. Ya kwanza akiweka ahadi, huvunja ahadi yake. Ya pili, akiaminiwa, hufanya hiana na ya tatu, akitoa ahadi, hawezi kutimiza. Asante Sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii."
}