GET /api/v0.1/hansard/entries/1037228/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037228,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037228/?format=api",
    "text_counter": 596,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda. Ningependa kukupa wewe kongole kwa sababu wewe ndiye Spika ambaye anatukuza lugha ya Kiswahili au lugha ya mama. Sisi Wapwani husema kwamba kuongea lugha ya kimombo kwa ufasaha haimaanishi unajua asili zaidi. Wewe ni mtu anayejua asili zaidi. Kwa hivyo, nakushukuru sana na pia kukupatia kongole kwa sababu hizi sheria zetu za hapa ndani ya Bunge la Seneti unazielewa na unaweza kuzitafsiri vilivyo kwa Kiswahili. Makosa yako ni kwa sababu hakuna binadamu aliye kamili. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}