GET /api/v0.1/hansard/entries/1037234/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037234,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037234/?format=api",
    "text_counter": 602,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante Sen. Madzayo kwa weredi wako wa lugha na kujieleza. Umewahi kusema kwamba mmezaana kuliko watu wa Murang’a. Hilo ni changamoto kwa Sen. Kang’ata. Watu wa Murang’a wana idadi moja ambayo imefanya wapate eneo bunge nzima la Kahuro, Kiharu, ambako Sen. Kang’ata aliwahi kuwa Mbunge. Sasa hivi ninampa nafasi wakili mwandamizi, George Mbogo Ochillo-Ayacko."
}