GET /api/v0.1/hansard/entries/1037244/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037244,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037244/?format=api",
"text_counter": 612,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ni mwaka uliokuwaje jameni? Ni mwaka ambao umekuwa wa kumbukumbu katika historia za Bunge. Ni wakati tumejizatiti zaidi fauka ya tamaduni na Kanuni zetu ili kuhakikisha kwamba tunafanaya kazi katika mazingira ambayo si ya kawaida. Tumekuwa na changamoto nyingi kutokana na misukasuko lakini tumebaki kuwa kundi moja na familia moja ya Waheshimiwa watadhimiwa."
}