GET /api/v0.1/hansard/entries/1037246/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037246,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037246/?format=api",
"text_counter": 614,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ajenda ya Bunge hili, utunzi wa sheria na kadhalika. Hususan tulitaka kuhakiksiha tumepea nguvu ugatuzi na kuhakikisha kwamba Kanuni zetu za kikatiba na hususan miundo-msingi inayofaa. Vilevile, mikakati yote ambayo inafaa kuwepo imezingatiwa kwa kuhakikisha tunaweza kutekeleza majukumu yetu ya kikatiba hasa jukumu la Bunge la Seneti kwa ujumla ili kuhakikisha kwamba tunakidhi mahitaji ya Wakenya na wadau wetu wote."
}