GET /api/v0.1/hansard/entries/1037248/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037248,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037248/?format=api",
"text_counter": 616,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Jambo hilo lilitufanya tukaanza kuwa na mikakati maalum ya kuhakikisha tunakuwa na vikao vya kamati kupitia majukwaa ya mtandao na kuhakikisha kwamba Ukumbi wa Seneti unaweza kuhodhi Maseneta 28 pekee. Pia, ilitubidi tuweze kuhakikisha kwamba miundo msingi ya kiteknolojia imeimairishwa ili kupunguza magonjwa haya na watu wanaweza kuweka nafasi kati yao. Hilo ni jambo ambalo hatujazoea. Itakumbukwa kwamba wakati mwengine Maseneta walikuwa wanaketi kwenye viti ambavyo havifai kukaliwa. Ilikuwa ni changamoto kuhakikisha kwamba kila Seneta ana nafasi ya kuzungumza."
}