GET /api/v0.1/hansard/entries/1037253/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037253,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037253/?format=api",
    "text_counter": 621,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Waheshimiwa Maseneta, mtakumbuka kwamba tarehe 20 Oktoba, 2020, Mahakama Kuu ilitoa uamuzi kutokana na Athihali Nambari Mia Mbili Themanini na Nne wa mwaka wa 2019 ambao ulikuwa unatoa maswali kuu kuhusu hali ya Katiba ya Miswada yote ambayo ilikuwa imepitishwa na Bunge la Taifa bila ya kuhusisha Bunge la Seneti kuambatana na Kifungu 110(3) cha Katiba yetu tukufu ya Jamhri ya Kenya."
}