GET /api/v0.1/hansard/entries/1037891/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037891,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037891/?format=api",
    "text_counter": 293,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisumu West, FORD-K",
    "speaker_title": "Hon. Olago Aluoch",
    "speaker": {
        "id": 5,
        "legal_name": "John Olago Aluoch",
        "slug": "john-aluoch"
    },
    "content": "Bw. Spika, sehemu ya kwanza ya Swali iliuliza, inakuaje pesa kutoka kwa Wizara ya Elimu inafika kwa shule nusu-nusu? Jibu la Swali hili ni kwamba Wizara bado inafanya mipango kuona ni vipi itapata pesa za kutosha. Jibu hili halionyeshi ni sababu gani pesa hazipeanwi inavyotakikana. Ikiwa tuko na bajeti na pesa zimeenda kwa Wizara, inakuaje pesa hazifiki kimamilifu?"
}