GET /api/v0.1/hansard/entries/1037892/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037892,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037892/?format=api",
    "text_counter": 294,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisumu West, FORD-K",
    "speaker_title": "Hon. Olago Aluoch",
    "speaker": {
        "id": 5,
        "legal_name": "John Olago Aluoch",
        "slug": "john-aluoch"
    },
    "content": "Pili, inakuwaje jibu la pili linatamka maswala ya viti ilhali sikuuliza Swali hilo? Swali langu lilikuwa, inakuaje pesa zinazofika shuleni hazitoshi kushughulikia swala la COVID-19? Jibu hili linaonesha kuwa Bw. Waziri hakuwa na jibu hakika."
}