GET /api/v0.1/hansard/entries/1037893/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037893,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037893/?format=api",
"text_counter": 295,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisumu West, FORD-K",
"speaker_title": "Hon. Olago Aluoch",
"speaker": {
"id": 5,
"legal_name": "John Olago Aluoch",
"slug": "john-aluoch"
},
"content": "Tatu, niliuliza inakuaje pesa ambazo zilitolewa kwa shule za msingi ni tofauti na zile ambazo zinaenda kwenye shule za upili? Jibu lake la tatu halijagusia Swali langu hata kidogo. Majibu ambayo nimeyapata hayatoshi kabisa. Ningependa kuuliza na kuomba kuwa Waziri wa Elimu, Bw. Magoha, aweze kupeana majibu ya kisawasawa kwa Wabunge. Haya hayatoshi kabisa."
}