GET /api/v0.1/hansard/entries/1037933/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037933,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037933/?format=api",
    "text_counter": 335,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
    "speaker": {
        "id": 13287,
        "legal_name": "Kassim Sawa Tandaza",
        "slug": "kassim-sawa-tandaza"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipa fursa hii. Nina Mswada ambao nimeushughulikia kwa muda wa miaka mitatu na hadi sasa haujaisha. Ni jambo la busara kwa Kamati husika na Wabunge wote kuhakikisha kwamba kazi iliyofanyika kwa miaka mitatu haitapotea. Kama unavyojua, Mswada wangu umekuwa hapa na ni vyema ikiwa utahifadhiwa mpaka upitishwe na Bunge hili kuwa sheria ili uweze kuwanufaisha watu wa Matuga na Wakenya wote kwa jumla. Asante sana na naunga mkono pendekezo hili."
}