GET /api/v0.1/hansard/entries/1037984/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037984,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037984/?format=api",
    "text_counter": 386,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Tandaza Kassim",
    "speaker": {
        "id": 13287,
        "legal_name": "Kassim Sawa Tandaza",
        "slug": "kassim-sawa-tandaza"
    },
    "content": " Asante sana Mhe. Spika. Jambo hili, kama vile tulivyozungumzia, ni la uwazi. Sisi kama waheshimiwa, tuko kama vinara wa CDF. We are only patrons. Kazi yote hufanyika kupitia hizi kamati. Ninaunga mkono. Ninaomba sisi sote tuipitishe Hoja hii. Hata zile pesa tulizozizungumzia zikitoka kwenye Hazina ya Taifa ikiwa bado Kamati kwenye sehemu za uwakilishi bungeni hazijakuwa tayari, wananchi hawatanufaika. Kwa hayo machache, ninaiunga mkono Hoja hii."
}