GET /api/v0.1/hansard/entries/1040227/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1040227,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1040227/?format=api",
"text_counter": 1291,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante Bi. Naibu Spika. Nimesoma ushahidi wote ambao tulipewa, lakini mambo ambayo ninasikia sasa ni hekaya na historia. Tulipenda tufuatilie ushahidi tuliopewa. Tumeusoma usiku kucha, halafu yale tunayosikia sasa ni hekaya. Tufuatilie ushahidi ulioko hapa."
}