GET /api/v0.1/hansard/entries/1040239/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1040239,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1040239/?format=api",
"text_counter": 1303,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi, Naibu Spika, nilikua nimesimama hapo awali. Nilitaka kusema kwamba, ushahidi ambao--- Mshahidi mwenyewe ajiangalie katika yale yalioandikwa pale, ndio aweze kutuambia. Wakili amepitwa kidogo kwa sababu akijaribu kuuliza atashindwa ule wakati wa kuuliza maswali. Kwa hivyo, ni vizuri angojee mshahidi atoe ushahidi wake. Akimaliza, yeye atapata nafasi nzuri sana ya kumweleza kwamba amefanya makosa hapa na pale. Hio itakua sababu nzuri ya yeye kumsaidia mteja wake."
}